GET /api/v0.1/hansard/entries/229406/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 229406,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/229406/?format=api",
"text_counter": 51,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bw. Spika, ningependa kusema kuwa ni bahati kubwa kwamba ninaongea leo hii hapa Bungeni. Hii ni kwa sababu waliokuja kuchoma sanamu yangu wangepata nafasi wangenichoma miye. Mara nyingi mimi husema bahati yangu ni kwamba nilifufuliwa na Yesu alipokuwa akifufuka."
}