GET /api/v0.1/hansard/entries/229408/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 229408,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/229408/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wamwere",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
    "speaker": {
        "id": 352,
        "legal_name": "Koigi Wamwere",
        "slug": "koigi-wamwere"
    },
    "content": "Bw. Spika, jambo jingine linalonishangaza ni kwamba wale wanaogombea Urais, badala ya kutafutia nchi hii Rais Mkenya, wanazunguka nchi hii wakisema eti wanataka nchi hii iwe na Rais Mkikuyu, Mjaluo, Mkamba, Mnandi, na kadhalika. Ikiwa nchi hii itakuwa na---"
}