GET /api/v0.1/hansard/entries/229530/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 229530,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/229530/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Mambo haya ni mambo ya taifa. Wewe uko hapa na ni Waziri mdogo, je, ni nani ambaye yuko Chebyuk? Ni nani ambaye yuko Kapsokwony? Je, wewe umeenda huko? Hao watu wanalala wapi? Usijaribu kuingilia mambo ambayo husemi. Mimi sikusema kuwa hawa watu---"
}