GET /api/v0.1/hansard/entries/229536/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 229536,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/229536/?format=api",
    "text_counter": 181,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Mhe. Shaban alisema kwamba orange ni matunda yanayobadilika, yaani alikuwa akibainisha kati ya rangi ya machungwa na shati, vile mhe. Tuju alikuwa akisema shati na rangi ya maua. Huo ndio ufafanuzi ambao mimi nasema. Sitaki kuingia katika siasa ya vyama hapa, bali nataka kuleta mwanga kuhusu kazi Serikali imefanya. Kwa hivyo, lile ninalosema ni kwamba, yule mtu ambaye hana macho na hawezi kukubali kwamba Serikali hii imefanya kazi nzuri, basi ajiulize mwenyewe ameifanyia nini Kenya? Au anangojea kuuliza Kenya imemfanyia kitu gani. Mdomo mtupu haufai! Ni hayo tu, Bw. Naibu Spika wa muda. Asante sana kwa kunipa fursa hii. Naunga mkono."
}