GET /api/v0.1/hansard/entries/229602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 229602,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/229602/?format=api",
    "text_counter": 32,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Raila",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 195,
        "legal_name": "Raila Amolo Odinga",
        "slug": "raila-odinga"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Sitaki kumsumbua Makamu wa Rais, lakini ni haki kwa yeye kulipotosha Bunge hili kwa kusema kuwa Serikali hii inaangalia maslahi ya akina mama ilhali tunajua kwamba miaka minne imepita na Serikali haijafanya chochote? Kipindi cha lala salama kimekuja na ndipo ameanza kuwapumbaza akina mama."
}