GET /api/v0.1/hansard/entries/232564/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 232564,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/232564/?format=api",
"text_counter": 47,
"type": "speech",
"speaker_name": "Capt. Nakitare",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, tunamwomba Waziri Msaidizi atuambie wazi jambo hili kwa sababu mawasiliano ya Kenya kupitia kwa kampuni ya Telkom yamekuwa magumu. Huko Mountain View tunaambiwa kuwa nyaya za simu zimeibiwa na exchange zimeharibika. Wizara hii itawapeleka kortini lini watu walioiba nyaya za simu na kurekebisha mambo haya ya mawasiliano?"
}