GET /api/v0.1/hansard/entries/234223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 234223,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/234223/?format=api",
"text_counter": 29,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kutokana na mvua kubwa mwaka huu, barabara nyingi zimeharibika, hasa katika Wilaya ya Taita Taveta, na hasa Wundanyi. Bajeti ya Kshs15 million tulizoona juzi zimepewa kamati za barabara za wilaya hazitatosha. Je, Waziri ana mipango gani ya kuongeza hela kukabiliana na tatizo hili lililoletwa na mvua nyingi, hasa huko Wundanyi?"
}