GET /api/v0.1/hansard/entries/234347/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 234347,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/234347/?format=api",
"text_counter": 153,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba kujibu Hoja kwa niaba ya Serikali, kwa sababu Serikali ni Serikali. Katika kuunga mkono Hoja hii, ningetaka kusema ya kwamba Serikali haina haja ya kupinga Hoja ambayo inakubaliana na malengo yake."
}