GET /api/v0.1/hansard/entries/234358/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 234358,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/234358/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, jambo jingine ambalo ningependa kugusia ni swala la wezi wa mashamba. Hii ni Serikali ya maendeleo. Sijui ni kwa nini mnacheka. Hii ni Serikali ya kimapinduzi na maendeleo. Tunataka kufanya mambo mengi wala hatutaki mchezo."
}