GET /api/v0.1/hansard/entries/234360/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 234360,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/234360/?format=api",
"text_counter": 166,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": "Kuna swala la wezi wa mashamba. Ukiangalia kijitabu hiki nilichonacho, utakuta kwamba kuna orodha ndefu ya majina ya watu ambao walinyakua mashamba katika maeneo ya misitu, kwa mfano, misitu ya Ngong, Kiptagich, Karura, Nyandarua na kwingineko. Tunajua majina ya watu walionyakua mashamba katika maeneo haya na tutayatwaa hayo mashamba kutoka kwao. Ni sharti Serikali itwae mashamba yaliyonyakuliwa ili iweze kuwapatia wale ambao wanastahili kuwa nayo. Aidha, mashamba hayo yarudishwe mikononi mwa Serikali ili tuweze kuyafanyia maendeleo."
}