GET /api/v0.1/hansard/entries/236081/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 236081,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/236081/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Bw. Spika, hili ni Swali linalohusu haki. Je, ni jukumu la mahakama au la Afisi ya Rais kuamua haki katika swala hili? Ikiwa Bw. Mucee aliachiliwa huru na korti, basi Afisi ya Rais haina uwezo wowote wa kubatilisha uamuzi huo."
}