GET /api/v0.1/hansard/entries/236814/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 236814,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/236814/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, Serikali hii inasikitisha. Inalia tu vile inavyolia inapofika wakati wa kupambana na ufisadi, ingawa hakuna chochote kinachotendeka. Waziri Msaidizi amesema wazi kwamba anajua viwanja vya shule vimenyakuliwa na watu binafsi na analia na Serikali. Ni lini Serikali itakuwa na meno?"
}