GET /api/v0.1/hansard/entries/237547/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 237547,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/237547/?format=api",
    "text_counter": 39,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Imekuwa kawaida kwa Mawaziri kuja hapa na kusoma majibu ambayo yameandikwa na maofisa wa Serikali bila ya kuhakikisha kama ni ya kweli. Hata pesa nyingi za umma zimepotelea Wundanyi. Wakati Wabunge wanapowaeleza Mawaziri kuwa miradi hii haipo, wanabishana, ni kama wameiona. Bunge hili litasaidiaje kulinda hela za umma ambazo zinapotea namna hiyo?"
}