GET /api/v0.1/hansard/entries/237548/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 237548,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/237548/?format=api",
    "text_counter": 40,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ninavyoona, umechelewa kwa sababu Waziri Msaidizi ameomba niahirishe Swali hili ili aende ahakikishe ya kwamba lile jibu aliloandikiwa ni la kweli. Nimeshampatia ruhusa kufanya hivyo. Wewe ungesimama kumpongeza Waziri Msaidizi."
}