GET /api/v0.1/hansard/entries/237622/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 237622,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/237622/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Bw. Spika, ningetaka kujua kama Serikali inazingatia masharti ya wafadhili ya kuwafuta wafanyakazi. Je, sera za Serikali juu ya wafanyakazi ni zile za wafadhili? Hii ndio maana Serikali inapunguza idadi ya wafanyakazi kila siku."
}