GET /api/v0.1/hansard/entries/237794/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 237794,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/237794/?format=api",
    "text_counter": 286,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Ahsante sana, Bw. Spika. Naomba viongozi wote wa vyama wafikirie zaidi kuhusu nchi yetu. Tusifikirie maslahi ya muda mfupi ambayo yanaweza kuvunja nchi yetu kupitia ukabila. Hilo ni jambo muhimu kwa wananchi wote wa Afrika Mashariki."
}