GET /api/v0.1/hansard/entries/237880/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 237880,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/237880/?format=api",
    "text_counter": 26,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Bw. Spika, kuna mshangao mkubwa kwa huyu Waziri Msaidizi kama hazingatii masomo kwa watoto kama ngao yao ya maisha ya mbele. Ni mpango gani ambao yuko nao kwa wale watu ambao wametengwa kwa sababu ya hizi daraja kusafishwa na maji ya mvua?"
}