GET /api/v0.1/hansard/entries/238391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 238391,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238391/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nimeshangazwa na jinzi Waziri Msaidizi amelijibu Swali hili, ambalo linahusu barabara za manispaa. Tangu Uhuru, wakati Waafrika walichukua sehemu ambazo Wazungu walikuwa wanaishi, Wizara hii haijashughulika kutengeneza barabara sehemu hizo. Lami imeporomoka. Waziri Msaidizi sasa anasema kwamba kuna pesa. Je, katika sehemu ya Kitale Township, ambayo ni maarufu sana, kuna mpango gani sambamba na ule wa Kerugoya Township?"
}