GET /api/v0.1/hansard/entries/238519/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 238519,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238519/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. L. Maitha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 249,
        "legal_name": "Lucas Baya Mweni Maitha",
        "slug": "lucas-maitha"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, nashukuru sana kwa sababu sina faida ya 3004 PARLIAMENTARY DEBATES October 18, 2006 kuzungumza katika muda wangu. Bw. Naibu Spika wa Muda, ningetaka kumpongeza mhe. Mbunge kwa kuleta Hoja hii na kwamba uwazi wa habari utatusaidia kwa mambo mengi sana. Ufichaji wa mali za umma umeletwa na siri nyingi za Serikali ya Kenyatta, Moi na mpaka ya sasa. Ni Wakenya wangapi hivi sasa wanajua mali ya taifa ni nini na iko wapi? Kwa hivyo, nakuunga mkono kwa kuleta Hoja hii na nikimalizia, kwa sababu dakika yangu ni moja, nasema kilele cha uwazi wa habari ni kiongozi wa nchi mwenyewe aweze kupata nafasi kuja hapa kila wakati kujibu maswala muhimu ya taifa. Mambo mengi yanafanyika na Serikali inadanganya kupitia kwa Mawaziri, kwa sababu Waziri anaweza kudanganya na akaponyoka, lakini kiongozi wa taifa hawezi kudanganya kwa sababu analosema Wakenya wote wameona na lazima alifuatilie. Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa hivyo, naunga mkono Hoja hii na kwamba ni lazima kiongozi wetu awe na uwazi wa"
}