GET /api/v0.1/hansard/entries/238941/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 238941,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238941/?format=api",
"text_counter": 101,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Dzoro",
"speaker_title": "The Minister for Tourism and Wildlife",
"speaker": {
"id": 247,
"legal_name": "Morris Mwachondo Dzoro",
"slug": "morris-dzoro"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, naomba kujibu. Wizara bado haijapokea dai la ridhaa kutokana na kifo cha bintiye Bw. Kibaara aliyeuawa na wanyama wa pori. Ningependa kumshauri Bw. Kibaara awasilishe dai lake kwa kamati ya ridhaa ya wilaya kupitia kwa Mkuu wa Wilaya, ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo."
}