GET /api/v0.1/hansard/entries/238946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 238946,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238946/?format=api",
"text_counter": 106,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Dzoro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 247,
"legal_name": "Morris Mwachondo Dzoro",
"slug": "morris-dzoro"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nakubaliana na wewe kwamba jambo hilo ni la zamani sana. Lilitokea mwaka wa 2000. Lakini hata hivyo, kulingana na rekodi zetu, inaonekana kwamba ombi hilo halikufika katika Ofisi ya Shirika la Wanyama wa Pori. Kwa hivyo, naomba tupewe ombi hilo ili tufuatilie. Inaonekana ombi hilo halikutufikia."
}