GET /api/v0.1/hansard/entries/238950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 238950,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238950/?format=api",
"text_counter": 110,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, Wizara hii ina mipango gani ya kuwalipa ridhaa jamii za watu wanaouawa na wanyama wa pori au wanaoharibiwa mimea yao? Kuna watu wengi ambao wamengoja zaidi ya miaka kumi bila kulipwa ridhaa."
}