GET /api/v0.1/hansard/entries/238954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 238954,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238954/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Dzoro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 247,
        "legal_name": "Morris Mwachondo Dzoro",
        "slug": "morris-dzoro"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, sheria hiyo ilitungwa hapa hapa Bungeni na Bw. Kagwima anatakiwa kujua Bw. Kibaara atalipwa hela ngapi! Lakini nawahakikishia Wabunge wenzangu kwamba tutahakikisha jamii hiyo imelipwa hela zake kulingana na sheria."
}