GET /api/v0.1/hansard/entries/239249/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 239249,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239249/?format=api",
    "text_counter": 101,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Bw. Spika, nimesema kwamba Waziri Msaidizi ni \"mwambao\". Yeye ni Mmijikenda kutoka Mombasa, ambaye anayajua hayo mambo. Mambo yaliyotendeka katika shule ya Bombolulu anayaelewa. Kwa nini anaweka sharti kwamba Wabara waelewe mambo ya Mombasa hali yeye anahusika na mambo hayo? Amechukua jukumu gani kama mtu anayeielewa historia ya Mombasa kuyasuluhisha mambo hayo?"
}