GET /api/v0.1/hansard/entries/239254/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 239254,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239254/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kingi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 27,
        "legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
        "slug": "amason-kingi"
    },
    "content": "Bw. Spika, mimi si \"mwambao\" bali ni mtu kutoka mwambao wa pwani. Bw. Spika, Swali hili halikuletwa Bungeni kwa sababu mimi, nikiwa Waziri Msaidizi, 2596 PARLIAMENTARY DEBATES August 3, 2006 ninatoka katika Mkoa wa Pwani. Swali hili limeletwa Bungeni kwa sababu linahusu Jamhuri yote ya Kenya. Ninaamini kwamba tumelijibu Swali hili tukizingatia kwamba, shule za mabweni ziko kila mahali nchini, na kwamba mapendekezo yaliyotolewa na Tume iliyobuniwa kuchunguza janga la moto katika shule hiyo yatawasaidia wasimamizi wa shule, na wahusika wengine, kuhakisha kwamba mkasa kama huo hautokei tena katika Jamhuri yetu."
}