GET /api/v0.1/hansard/entries/239263/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 239263,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239263/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Gitau",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 162,
"legal_name": "William Kabogo Gitau",
"slug": "william-kabogo"
},
"content": "Bw. Spika, ninamshukuru sana Waziri Msaidizi kwa jibu hilo. Bila shaka, hiyo inaonyesha kwamba Serikali inayajali maslahi ya watoto wasiojiweza. Kwa moyo huo huo, ningependa kuwaomba Mawaziri, na haswa Waziri wa Elimu, azingatie maslahi ya watoto wasiojiweza ili waweze kupata usaidizi. Nimeridhika na ninamshukuru."
}