GET /api/v0.1/hansard/entries/239680/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 239680,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239680/?format=api",
"text_counter": 215,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwenje",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Co-operative Development and Marketing",
"speaker": {
"id": 257,
"legal_name": "David S. Kamau Mwenje",
"slug": "david-mwenje"
},
"content": " Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili niunge Mkono Hoja hii. Hoja hii ni muhimu sana.. Namshukuru Prof. Ruth Oniang'o kwa kufikiria kuleta Hoja hii katika Bunge hili. Nakubaliana na yeye kwamba ipo haja ya kurekebisha mfumo unaotumika kugawa chakula kwa watu walio na njaa. Lakini, sikubaliani na Mheshimiwa aliyeongea mbele yangu kwa kusema kwamba Serikali inauza mbolea yake cash, na inachukua muda mrefu kuwalipa wakulima. Siku hizi, wakulima wa mahindi hulipwa mara moja!"
}