GET /api/v0.1/hansard/entries/239686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 239686,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239686/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwenje",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Co-operative Development and Marketing",
"speaker": {
"id": 257,
"legal_name": "David S. Kamau Mwenje",
"slug": "david-mwenje"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna mambo mengine ambayo hayaeleweki kwa Kiswahili. Kwa hivyo, ninatumia Kiingereza ili watu waweze kuelewa. Siongei kwa Kiingereza bali ninaelezea maneno mengine. Tunafaa kuwa na Kamati ya kuangalia vile huu Mswada utatayarishwa."
}