GET /api/v0.1/hansard/entries/239690/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 239690,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239690/?format=api",
    "text_counter": 225,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwenje",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Co-operative Development and Marketing",
    "speaker": {
        "id": 257,
        "legal_name": "David S. Kamau Mwenje",
        "slug": "david-mwenje"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, basi, fungua macho! Ni lazima mipango iwekwe ili jambo hili liweze kufaulu. Jambo la kuwapatia watu chakula si rahisi. Chakula hiki kinapelekewa watu kupitia kwa machifu na wafanyakazi wa Serikali, na mara nyingi tunapata ripoti kwamba kimeibiwa. Ninaunga mkono Hoja hii. Huu Mswada unafaa kuletwa Bungeni kwa haraka ili tuweze kuupitisha."
}