GET /api/v0.1/hansard/entries/240543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 240543,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/240543/?format=api",
    "text_counter": 13,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Ningependa kumweleza Naibu Waziri kwamba inaonekana machifu na manaibu wao, ambao wanajua wale wanaohusika na vikundi hivi vya kuharibu usalama nchini, wametengwa. Kwa mfano, mtoto akiwa mwizi, mama yake hujua. Iwapo baba hajui mambo kumhusu mtoto wake, je, kazi ya machifu, manaibu wao, wakuu wa wilaya na wakuu wa tarafa ni nini katika nchi hii?"
}