GET /api/v0.1/hansard/entries/240583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 240583,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/240583/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Ili kupata mifugo iliyopotea na kuhakikisha kwamba kuna haki, lazima kuwe na alama ya kuhakikisha kwamba mifugo iliyopatikana ni ile ambayo kweli, ilikuwa imeibiwa. Je, Waziri Msaidizi alitumia ujuzi upi kuhakikisha kwamba mifugo iliyopatikana na kurudishiwa watu ni ile iliyokuwa imeibiwa, na wala si ya watu ambao hawakuhusika?"
}