GET /api/v0.1/hansard/entries/240585/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 240585,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/240585/?format=api",
"text_counter": 55,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kingi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 27,
"legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
"slug": "amason-kingi"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, jambo ambalo tumefanya hasa katika sehemu za mipaka ni kuhakikisha kwamba kuna alama au kile tunachoita branding, ili mifugo wanapopotea tuweze kuwafuatilia na kuwapata. Huwa tunawatafuta mifugo pamoja na maofisa wetu wa utawala na kuhakikisha kwamba wametambua mifugo hao kabla hatujawarudishia wenyewe. Kazi hiyo ya"
}