GET /api/v0.1/hansard/entries/241410/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 241410,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/241410/?format=api",
    "text_counter": 23,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Wakenya wamechoka na viraka ambavyo vinabandikwa kwenye barabara. Wilaya za Trans Nzoia na Marakwet hazikufaidika kutokana na Bajeti ya mwaka huu. Ni lini barabara zetu zitatengenezwa vizuri badala ya kuzibandika viraka?"
}