GET /api/v0.1/hansard/entries/242560/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 242560,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/242560/?format=api",
"text_counter": 231,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Shakombo",
"speaker_title": "The Minister of State for National Heritage",
"speaker": {
"id": 244,
"legal_name": "Rashid Suleiman Shakombo",
"slug": "rashid-shakombo"
},
"content": " Ningependa kukushukuru Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Ninasimama kuiunga mkono Hoja hii juu ya Wizara ya Barabara na Ujezi. Tangu mhe. Nyachae aanze kuiongoza Wizara hii, tumeona shughuli nyingi za kukarabati barabara. Juzi nilikuwa huko Machakos ambako niliona barabara ambayo bado inatengenezwa. Barabara hiyo inatoka Machakos kuelekea Kitui. Vile vile nilizuru Bonde la Ufa hata nikafika kwa rafiki yangu mhe. Kipchumba, ambako niliona barabara nyingine ikitengenezwa."
}