GET /api/v0.1/hansard/entries/242935/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 242935,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/242935/?format=api",
"text_counter": 19,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ni wazi kwamba Shirika la KBC ni la taifa. Lakini tukisikia matangazo ya Uchina, tunajiuliza kama ni Shirika la Uchina au la. Uchina haijatupatia masafa lakini Serikali yetu imewaruhusu kutangaza kwa kutumia shirika hili. Je, ni lini Kenya itapewa nafasi kutangaza katika Shirika la Uchina?"
}