GET /api/v0.1/hansard/entries/242936/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 242936,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/242936/?format=api",
    "text_counter": 20,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Waziri Msaidizi, hilo ni swali muhimu sana. Nimewasikia Wakenya wengi hata kule mashambani wakilalamika ya kwamba Shirika la KBC redio inatangaza mambo ya Uchina. Je, unaweza kutueleza zaidi kuhusu mambo haya?"
}