GET /api/v0.1/hansard/entries/243955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 243955,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/243955/?format=api",
    "text_counter": 281,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kuniongezea muda wa dakika nusu. Polisi wa ziada katika Wilaya ya Garissa wana bunduki za rasharasha lakini wale wa Wilaya ya Tana River wana zile bunduki zinazojulikana kwa jina maarufu kama \"ngoja kidogo\"; moja mbele, unasubiri nusu saa kisha unafyatua ya pili. Tunaomba bunduki hizi zisawazishwe katika wilaya hizo mbili. Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa hayo machache, ninaunga Hoja hii mkono."
}