GET /api/v0.1/hansard/entries/243989/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 243989,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/243989/?format=api",
    "text_counter": 29,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Ahsante, Bw. Naibu Spika. Ukiwa na ng'ombe wa maziwa ni lazima umtunze. Utalii ni kama ng'ombe wa maziwa katika nchi ya Kenya. Barabara ya kuelekea kiwanja cha ndege ni kama ng'ombe wa maziwa katika nchi yetu. Barabara hii inaleta pesa. Wizara ina mipango gani katika miaka mitano ijayo ya kutengeza barabara zinazoelekea mbugani na viwanja vya ndege?"
}