GET /api/v0.1/hansard/entries/244019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 244019,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/244019/?format=api",
"text_counter": 59,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ninasikitishwa sana na sera mbaya za Serikali dhidi ya wafanyakazi. Sera hizo mbaya zinamfanya hata ndugu yangu Wamwere kujibu Swali kama hili vibaya, ili kujaribu kuonyesha kana kwamba huo ndio msimamo. Kuna mipango gani ya kuwalipa marupurupu yao na ni kwa kiasi gani?"
}