GET /api/v0.1/hansard/entries/244020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 244020,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/244020/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wamwere",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 352,
        "legal_name": "Koigi Wamwere",
        "slug": "koigi-wamwere"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, msimamo wangu ni ule ule kiitikadi, na sidhani ya kwamba nimejibu swali hili kimakosa. Kulingana na habari ambazo nimepewa, hao wafanyakazi ambao wameachishwa kazi wamelipwa marupurupu yao. Kulingana na orodha ambayo ninayo wanalipwa marupurupu hayo kuanzia kiasi cha Kshs100,065 had Kshs400,010. Ningetaka kukiri ya kwamba, nia ya Wizara ilikuwa ni kuwalipa zaidi, lakini kwa bahati mbaya Serikali ikawa haina pesa ambazo tulikuwa tumewaombea. Natumai ya kwamba nchi yetu ikitajirika wafanyakazi hawa wataweza kupewa mishahara ambayo itawasaidia kujikimu watokapo kazini."
}