GET /api/v0.1/hansard/entries/245821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 245821,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/245821/?format=api",
"text_counter": 77,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Raila",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 195,
"legal_name": "Raila Amolo Odinga",
"slug": "raila-odinga"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Mhe Odyo ameuliza swali nyeti. Ameuliza Waziri kwamba kuna pesa laki mbili ambazo zilikuwa zimelipwa na Serikali ya Uingereza kwa Serikali ya Kenya. Hizo pesa hazijaonyeshwa popote katika orodha ya pesa za Wizara ya Ulinzi. Hizo pesa zimeenda wapi?"
}