GET /api/v0.1/hansard/entries/245919/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 245919,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/245919/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kajembe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 163,
        "legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
        "slug": "ramadhan-kajembe"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nasema hivyo kwa sababu mtambo wa korosho haujarudishwa mikononi mwa wakulima wa korosho. Nasema hivyo kwa sababu, lazima tufufue viwanda vitakavyofaidi wananchi. Lakini ikiwa kiwanda kimepokonywa wananchi na kupewa mtu fulani, lazima tupige kelele kwa sababu tunataka uchumi uwekwe katika mikono ya wananchi."
}