GET /api/v0.1/hansard/entries/246571/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 246571,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/246571/?format=api",
"text_counter": 206,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": "Nimeumwa kwa sababu kwangu kumejaa maskwota. Labda kina Kimunya hawana watu kama hawa kule wanakokaa na hawasumbuliwi nao. Kwa hivyo, hawaoni shida hiyo. Bw. Naibu Spika wa Muda, hakuna sehemu ya nchi hii ambayo ni muhimu kuliko nyingine. Kwa hivyo, ni lazima Bajeti hii ishughulikie Wakenya wote kwa namna sawa. Ni lazima sehemu zote ziwe sawa. Kwa hayo machache, naomba kuunga mkono. Lakini pia naiomba Wizara hii irekebishe upungufu ulio katika Bajeti hii."
}