GET /api/v0.1/hansard/entries/248075/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 248075,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/248075/?format=api",
"text_counter": 258,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Twaha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 145,
"legal_name": "Yasin Fahim Twaha",
"slug": "yasin-twaha"
},
"content": "Jambo la Nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ni nidhamu kwa Bw. Wetangula kusema kwamba mhe. Poghisio hajasoma, ilhali yeye kama mhe. Poghisio alisoma kwa miaka mitatu kwenye chuo kikuu kama wengine? Kwani masomo ya uwakili ndiyo yana maana zaidi ya masomo mengine?"
}