GET /api/v0.1/hansard/entries/248175/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 248175,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/248175/?format=api",
"text_counter": 88,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kingi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 27,
"legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
"slug": "amason-kingi"
},
"content": "Bw. Spika, nimeulizwa kwamba ni kitu gani tutafanya iwapo DPM itakataa kuongeza machifu na manaibu wao mishahara. Sijakataa kulijibu swali hili. Nimesema kwamba swali hilo halipo. Nimesema yale mambo ambayo tumefanya. Yale yatakayotokea baadaye---"
}