GET /api/v0.1/hansard/entries/249309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 249309,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/249309/?format=api",
"text_counter": 36,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wario",
"speaker_title": "The Assistant Minister, Ministry of State for Special Programmes",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": " Asante, Bw. Naibu Spika kwa fursa hii. Namshukuru Mwenyezi Mungu na ninawaambia Wakenya waombe Mwenyezi Mungu ili awaepushe na gharika na jangwa la kiasili. Nasema hivyo kwa sababu sio chuo au Wizara yenye uwezo wa kushughulikia gharika au jangwa la kiasili. Kwa nini nasema haya? Kimbunga cha Katrina kilipogonga nchi ya Amerika, licha ya kuwa nchi hiyo ni"
}