GET /api/v0.1/hansard/entries/250178/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 250178,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/250178/?format=api",
"text_counter": 353,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Kituyi",
"speaker_title": "The Minister for Trade and Industry",
"speaker": {
"id": 293,
"legal_name": "Mukhisa Kituyi",
"slug": "mukhisa-kituyi"
},
"content": " Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa nami nichangie Hoja hii. Nashukuru kwamba Wabunge wote wanakubaliana kwamba ipo haja ya kuheshimu fursa tulionayo kama taifa, kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kimataifa. Lakini kuna jambo linaloniletea wasiwasi. Kuuenzi uhuru wetu wa kubadilisha mjadala wowote hakuhitaji kuonyeshwa kwa kupinga kila kitu kwa sababu kimeletwa na Serikali. Nimemsikiliza rafiki wangu, Bw. Sirma---"
}