GET /api/v0.1/hansard/entries/251137/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251137,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251137/?format=api",
"text_counter": 47,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Ahsante sana, Bw. Naibu Spika. Waziri Msaidizi amesema kwamba atachukua hatua kukabiliana na suala hilo. Tumekuwa na Tume ya Ndung'u kuhusu hayo matatizo. Watu binafsi wamenyakua barabara na sehemu nyingine za matumizi ya umma. Je, mapendekezo ya Tume yatatekelezwa lini? Hiyo ndio hatua kamili!"
}