GET /api/v0.1/hansard/entries/251518/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251518,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251518/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kingi",
"speaker_title": "The Assistant Minister, Office of the President",
"speaker": {
"id": 27,
"legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
"slug": "amason-kingi"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, kwanza, ningependa kuomba msamaha kwa kuchelewa kufika Bungeni na kukosa kujibu Swali la Bw. Ochilo-Ayacko. Tumekuwa na shida ya mawasiliano na sehemu husika. Kuchelewa kwangu kumesababishwa na kutafuta jibu la Swali hilo. Tumepata jibu la Swali hilo. Bunge likiniruhusu, nitalijibu Swali hilo kesho."
}