GET /api/v0.1/hansard/entries/251520/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251520,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251520/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kingi",
"speaker_title": "The Assistant Minister, Office of the President",
"speaker": {
"id": 27,
"legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
"slug": "amason-kingi"
},
"content": " Ahsante, Bw. Naibu wa Spika. Pia, ninaomba msamaha kwa kuwa sitaweza kulijibu Swali la Bw. Mwancha. Jibu la Swali hili linatoka kwa Wizara mbalimbali. Tumeziandikia barua Wizara husika lakini baadhi ya Wizara hizo hazijatuletea majibu. Tumeliandikia barua shirika la Huduma kwa Wanyama Pori nchini (KWS) na vikosi vya majeshi ili watupatie habari zinazohusu Swali hili, lakini kufikia sasa, April 26, 2006 PARLIAMENTARY DEBATES 671 hawajatupatia habari hizo. Tunajaribu kuwasiliana nao ili watupatie habari hizo ili tulete jibu lililo sahihi. Kwa hivyo, ninaomba nilijibu Swali hili juma lijalo, siku ya Jumanne."
}